LE CANZONI

 

I testidelle canzoni sono tratti dal sito http://www.yale.edu/swahili/

 

Malaika.

Malaika, nakupenda Malaika.               Angelo, ti amo angelo

Malaika, nakupenda Malaika.

Nami nifanyeje, kijana mwenzio,           che cosa dovrei fare, il giovane amante?

Nashindwa na mali sina, we,                 non ho soldi          

                                                               (LETTERALMENTE: Sono sconfitto da ricchezza, io             

                                                     non c'è ne ho.)

Ningekuoa Malaika.                               Ti sposerei, angelo.

Nashindwa na mali sina, we,

Ningekuoa Malaika.

 

Pesa zasumbua roho yangu                   (I soldi  sono problemi

                                                     economici della mia anima)

Pesa zasumbua roho yangu

Nami nifanyeje, kijana mwenzio,

Ningekuoa Malaika.

Nashindwa na mali sina, we,

Ningekuoa Malaika.

 

Kidege, hukuwaza kidege.                       uccellino,ti sogno sempre uccellino

                                                                                      

Kidege, hukuwaza kidege.

Nami nifanyeje, kijana mwenzio,

Nashindwa na mali sina, we,

Ningekuoa kidege.

Nashindwa na mali sina, we,

Ningekuoa kidege.

 

 

Majengo

MAJENGO SIENDI TENA

 

Majengo siendi tena (ripetere)

Majengo siendi tena kuona ndege za mitambo

 

Majengo siendi tena (ripetere)

 

Majengo siendi tena kuona ndege za mitambo

 

Moyo wangu wanituma mwema

Niwe mwanachama wa daima

Sitaweza kuliacha Rumba

Pale moyo kunituma

 

Moyo wangu wanituma mwema

Niwe mwanachama wa daima

Sitaweza kuliacha Rumba

Pale moyo kunituma

 

Harambee

Harambee

Harambee

Harambee tumshinde  'jabari.

 

Harambee

Haramee, harmbee

tuimbe pamoja

(ripetere 2 volte)

Tujenge serikali

 

Wali wasema

Kenya 'tapata matata

(ripetere 2 volte)

watu wote wastarabu

 

Watu wa Kenya hatuna ubaguzi

(ripetere 2 volte)

Kila rangi tunaipenda

 

 

Jambo

Jambo, Jambo bwana,

Habari gani,

Mzuri sana.

 

Wageni, Wakaribishwa,

Kenya yetu Hakuna Matata.

 

Kenya nchi nzuri,

Hakuna Matata.

 

Nchi ya maajabu

Hakuna Matata.

 

Nchi yenye amani,

Hakuna Matata.

 

Hakuna Matata,

Hakuna Matata.

 

Watu wote,

Hakuna Matata,

Wakaribishwa,

Hakuna Matata.

Hakuna Matata,

Hakuna Matata.